Tunaboresha sherehe na biashara yako kwa teknolojia ya kisasa: Kadi za mialiko za kidijitali zenye QR Code, Bulk SMS za kukumbusha michango mara 5, Website za hadhi ya juu, Mobile Apps, na Mifumo ya Software.
Tunatoa huduma kamili za kiteknolojia kuanzia kadi za mialiko za kidijitali hadi mifumo mikubwa ya kibiashara, tovuti na utangazaji wa kisasa wa AI.
Suluhisho la kisasa la kadi za harusi, send-off, kitchen party na matukio ya mashirika. Wageni wanapokea kadi zenye QR code na majina yao kupitia WhatsApp na SMS.
Ubunifu na utengenezaji wa tovuti za kisasa zenye muonekano wa kuvutia, kasi kubwa, na zilizoboreshwa kufunguka vizuri kwenye simu zote na kompyuta.
Tunajenga application za simu zenye ubunifu wa hali ya juu (UI/UX) zinazowezesha biashara yako kuwafikia wateja kirahisi popote walipo.
Mifumo maalum ya kibiashara na uendeshaji (ERP, POS, Usimamizi wa Stoo, Mauzo na Wateja) pamoja na mifumo ya otomatiki ya WhatsApp na SMS.
Ubunifu wa mabango, vipeperushi (flyers), na vitambulisho vya chapa kwa viwango vya kimataifa vinavyovutia na kuacha hisia nzuri kwa hadhira yako.
Kutengeneza maudhui ya kidijitali yanayoleta mauzo, kukuza chapa yako kupitia matangazo ya kisasa ya Artificial Intelligence (AI) kwenye Meta, TikTok & Google.
Tunahakikisha sherehe yako ya Harusi, Send-off, au Tukio la Kampuni inaendeshwa kwa heshima, ufanisi na bila usumbufu wa kadi za karatasi.
Inafaa kwa sherehe za kati, send-off na kitchen party.
Chaguo bora zaidi kwa harusi kubwa na matukio ya kiserikali/kampuni.
Kifurushi kikuu cha matukio makubwa na wageni mashuhuri.
Sogeza kitelezi kuchagua idadi ya kadi unazohitaji ili kupata makadirio ya papo hapo na maelezo ya kifurushi chako.
Hivi ndivyo mgeni wako atakavyoona kadi kwenye simu yake. Gusa kitufe cha chini kujaribu mfumo wa skana ukumbini!
Chagua mfumo au application unayotaka kujenga ili kupata makadirio ya muda na gharama za awali.
Tunakuondolea adha ya kupoteza kadi za karatasi, wageni kutokuja, au mialiko kuchelewa kufika.
Tunatengeneza muundo wa kadi ya hadhi ya juu yenye picha kamili ya wahusika na maelezo yote muhimu ya sherehe.
Mfumo wetu unaratibu na kutuma ujumbe wa bulk SMS kwa ratiba ya kamati ili kuwakumbusha waalikwa michango yao.
Siku ya tukio, wageni wanascan kadi zao mlangoni kwa smartphone bila foleni, na meza zao zinaonekana papo hapo.
Baada ya sherehe, kamati inapata ripoti kamili ya waliohudhuria, na wageni wanatumiwa ujumbe wa SMS za shukrani.
Ubunifu wa vipeperushi (flyers) vya matukio makubwa, mikutano ya kampuni, na matangazo ya kisasa yanayoendeshwa na akili bandia (AI) ili kufikia wateja sahihi mtandaoni.
Tupo tayari kukusaidia kuanzia mwanzo hadi mwisho. Piga simu, tutumie barua pepe au tuandikie WhatsApp wakati wowote.
Jaza fomu hii na tutakupigia au kukujibu mara moja kupitia WhatsApp au Simu.